Huduma 04
Company Branding
Brand kamili ya kampuni yako: kuanzia nembo hadi company profile na templates za mitandao; ili kila kitu unachotoa kionekane kama kampuni moja ya kiwango cha juu.
Kinachojumuishwa kwenye Tsh 2,500,000
- Brand strategy: kikao cha maono, wateja walengwa, washindani, ujumbe wa brand na tagline
- Logo: mapendekezo 3, unachagua 1, tunakamilisha; matoleo yote (rangi, nyeusi/nyeupe, icon) kwa print na digital (AI, SVG, PNG, PDF)
- Brand identity: rangi za brand, fonts, mtindo wa picha
- Brand guidelines: kitabu cha kurasa 15–20 cha jinsi ya kutumia brand yako
- Stationery: business card, letterhead, email signature, bahasha
- Company profile: PDF ya kisasa ya kuwasilisha kwa wateja, benki na zabuni
- Social media kit: profile pictures, covers, na templates 10 za posts (Instagram/Facebook/LinkedIn)
- Ukabidhi: files zote za msingi ni mali yako + mafunzo mafupi ya matumizi
Una nembo tayari? Tunaweza kuiboresha (logo refresh) badala ya kuanza upya; bei inabaki ile ile kwa sababu kazi ya mfumo mzima wa brand ndiyo kubwa.
Jinsi tunavyofanya kazi: wiki 3
Ugunduzi (wiki 1)
Kikao cha kuanzia na uongozi. Matokeo: Brand Brief ya ukurasa 1 unaoidhinisha kabla ya design.
Utambulisho (wiki 1–2)
Mapendekezo 3 ya logo na mwelekeo wa rangi/fonts. Unachagua mmoja.
Mfumo wa brand (wiki 2–3)
Tunakamilisha logo, guidelines, stationery, company profile na templates. Raundi 2 za marekebisho.
Ukabidhi (wiki 3)
Files zote, mafunzo, na mpango wa kuzindua brand mpya kwa wateja wako.
Vipande vya ziada (hiari)
| Kipande | Bei | |
|---|---|---|
| Sare (uniform) na ID cards design | Tsh 150,000 | |
| Branding ya gari (vehicle wrap design) | Tsh 250,000 | |
| Signage ya ofisi / duka | Tsh 150,000 | |
| Packaging (vifungashio) design | Tsh 200,000 | |
| Video ya uzinduzi wa brand (AI) | Tsh 200,000 |
Malipo: 50% kuanza kazi, 50% baada ya kazi. Raundi 2 za marekebisho kwa kila hatua; marekebisho ya ziada kwa makubaliano.