Huduma 05

Graphic Design

Posters, flyers, logo, business cards, banners, menu na zaidi: design za haraka, za kitaalamu, kwa bei ya wazi. Tuma maelezo kwa WhatsApp, pata design ndani ya siku moja.

BeiPoster Tsh 20,000  ·  Logo Tsh 50,000

Bei za design

KaziMaelezoBei
PosterKwa mitandao ya kijamii au print, raundi 1 ya marekebishoSiku 1Tsh 20,000
Flyer / Brosha (ukurasa 1)Siku 1Tsh 20,000
Social media post (design)Siku 1Tsh 15,000
LogoMapendekezo 2, files zote (AI, SVG, PNG, PDF)Siku 2–3Tsh 50,000
Business card (pande 2)Siku 1Tsh 25,000
Banner / Roll-up / BackdropSiku 1–2Tsh 40,000
Menu ya mgahawaSiku 2Tsh 60,000
Brosha (kurasa 4+)Siku 3Tsh 80,000
Company profile (kurasa 8–12)Siku 5Tsh 150,000
Packaging / label ya bidhaaSiku 3Tsh 100,000
Kadi ya mwaliko (harusi, sherehe, tukio)Siku 1–2Tsh 30,000

Vifurushi vya kuokoa

KifurushiMaelezoBei
Posters 5Badala ya 100,000Tsh 85,000
Posters 10Badala ya 200,000Tsh 160,000
Kifurushi cha kuanza biasharaLogo + business card + posters 3 + profile picture na cover za mitandaoBadala ya 180,000Tsh 150,000
Posts za mweziPosts 12 za mitandao ya kijamii (3 kwa wiki)Badala ya 180,000Tsh 150,000

Jinsi tunavyofanya kazi

Tuma maelezo

Kwa WhatsApp: maandishi, nembo, picha, rangi unazopenda, na mfano unaoupenda (kama upo).

Malipo

Kazi ndogo (chini ya Tsh 100,000) zinalipwa 100% kuanza. Kazi kubwa: 50/50.

Tunadesign

Unapata design ndani ya muda uliotajwa.

Marekebisho

Raundi 1 ya marekebisho ya bure kwa kazi ndogo, 2 kwa kazi kubwa.

Kukabidhi

Files zako kwa ubora wa print (PDF/PNG) na mitandao ya kijamii.

Bei za print (kuchapisha) hazijumuishwi; tunakuunganisha na printer wa kuaminika Dar es Salaam ukihitaji.

Je, upo tayari kuanza?

Tutext WhatsApp