Huduma 02
Matangazo Bora ya AI
Hapa tunatengeneza matangazo mazuri sana ya video kwa Tsh 200,000 tu: ubora wa HD hadi 8K, Kiswahili au Kiingereza, tayari kwa Instagram, TikTok, YouTube na TV. Unapokea tangazo lako ndani ya masaa 24, kulingana na ukubwa wa video. Zaidi ya matangazo 300 yametengenezwa kwa biashara za Tanzania.
Kinachojumuishwa kwenye Tsh 200,000
- Video ya tangazo ya sekunde 30–60, ubora wa HD hadi 8K
- Script ya tangazo (tunaandika, unaidhinisha)
- Sauti ya kitaalamu (voiceover) Kiswahili au Kiingereza
- Muziki, subtitles na nembo yako
- Toleo la wima (TikTok/Reels/Status) na la mlalo (YouTube/TV)
- Raundi 2 za marekebisho
- Kukabidhiwa ndani ya masaa 24, kulingana na ukubwa wa video
Ofa: kila tangazo linakuja na
• Mafunzo ya bure ya jinsi ya ku-run tangazo lako kwenye Instagram, Facebook na TikTok: targeting, bajeti, na kupima matokeo.
• Posters 2 za bure zinazoendana na tangazo lako, tayari kwa mitandao ya kijamii.
Vifurushi
| Kifurushi | Maelezo | Bei |
|---|---|---|
| Tangazo 1Video 1 + mafunzo + posters 2 | Kuanza | Tsh 200,000 |
| Matangazo 3Video 3 + mafunzo + posters 6 | Kampeni ya mwezi | Tsh 540,000 |
| Matangazo 5Video 5 + mafunzo + posters 10 | Bidhaa au huduma kadhaa | Tsh 850,000 |
| Matangazo 10Video 10 + mafunzo + posters 20 + mkakati wa miezi 3 | Biashara inayotaka kuonekana kila wiki | Tsh 1,600,000 |
Huduma za ziada
| Huduma | Bei | |
|---|---|---|
| Tangazo refu (sekunde 60–120) | + Tsh 100,000 | |
| Toleo la lugha ya pili (Kiingereza + Kiswahili) | + Tsh 50,000 | |
| Tangazo lenye mtangazaji (presenter) wa AI | + Tsh 80,000 | |
| Ku-run matangazo kwa niaba yako (usimamizi wa ads) | Bajeti ya ads tofauti | Tsh 150,000/mwezi |
Jinsi tunavyofanya kazi
Tunapata taarifa
Unatutumia jina la biashara, huduma/bidhaa, bei, mahali, na nembo (kwa WhatsApp).
Script
Tunakuandikia script ndani ya saa 24. Unaidhinisha au unabadilisha.
Tunatengeneza
Video inatengenezwa kwa AI, sauti, muziki na subtitles.
Marekebisho
Unapitia, unatuambia mabadiliko (raundi 2).
Kukabidhi + mafunzo
Unapata video, posters 2, na mafunzo ya ku-run tangazo.
Malipo: 100% kabla ya kuanza kwa tangazo 1; kwa vifurushi vya 3+ unaweza kulipa 50% kuanza, 50% kukabidhi.