Huduma 01

Website & Apps Design

Tunadesign website na apps za aina tofauti, na bei zinatofautiana kulingana na aina ya website au app unayotaka na vitu vinavyotakiwa. Kila kitu kinajengwa kwa mkono, kinafanya kazi vizuri kwenye simu, na kinakabidhiwa kikiwa live.

BeiWebsite: Tsh 800,000 – 5,000,000
Apps: Tsh 2,000,000 – 20,000,000

Website: categories 5

Chagua kulingana na biashara yako. Kila website inafanya kazi vizuri kwenye simu, ina kitufe cha WhatsApp, na inakabidhiwa ikiwa live.

Starter

Biashara ndogo, mtu binafsi, au unayeanza mtandaoni.

Tsh 800,000
  • Website ya ukurasa mmoja (sehemu 5: kuhusu, huduma, picha, maoni, mawasiliano)
  • Inafanya kazi vizuri kwenye simu na kompyuta
  • Kitufe cha WhatsApp na fomu ya mawasiliano
  • Google Maps ya eneo lako
  • SEO ya msingi ili upatikane Google
  • Raundi 1 ya marekebisho
Muda: siku 5 · Domain na hosting zinalipwa tofauti
Chagua Starter
Inapendwa zaidi

Business

Kampuni yenye huduma kadhaa inayotaka kuonekana kitaalamu.

Tsh 1,500,000
  • Kurasa hadi 5 (Nyumbani, Kuhusu, Huduma, Gallery, Wasiliana)
  • Design ya kipekee inayofuata brand yako
  • Gallery ya picha na video
  • Sehemu ya habari/blog
  • Viungo vya mitandao ya kijamii + WhatsApp
  • SEO ya msingi + Google Business Profile
  • Raundi 2 za marekebisho
Muda: siku 10 · Domain na hosting zinalipwa tofauti
Chagua Business

Professional

Kampuni inayopokea maombi, booking au wateja wa nje.

Tsh 2,500,000
  • Kurasa hadi 10
  • Design ya kipekee kabisa, animations za kisasa
  • Fomu za booking / maombi zinazotuma WhatsApp na barua pepe
  • Kiswahili na Kiingereza (lugha mbili)
  • Google Analytics na ripoti ya wageni
  • Kasi ya juu na usalama (SSL)
  • Mafunzo ya kusasisha maudhui
  • Raundi 2 za marekebisho
Muda: wiki 2 · Msaada wa mwezi 1 baada ya kuzindua
Chagua Professional

E-Commerce

Duka la mtandaoni linalouza na kupokea malipo.

Tsh 3,500,000
  • Duka lenye bidhaa hadi 100
  • Kikapu (cart) na checkout
  • Malipo: M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na kadi
  • Taarifa ya order kwa WhatsApp na barua pepe
  • Dashboard ya kusimamia bidhaa na orders
  • Akaunti za wateja na ufuatiliaji wa order
  • Discount codes na promotions
  • Raundi 2 za marekebisho
Muda: wiki 3 · Msaada wa miezi 2 · Ada za payment gateway zinalipwa tofauti
Chagua E-Commerce

Enterprise

Mifumo ya kipekee: portal ya wateja, booking, dashboards.

Tsh 5,000,000
  • Kurasa zisizo na kikomo
  • Web app ya kipekee (portal ya wateja, mfumo wa booking, dashboards)
  • Malipo ya mtandaoni + API integrations (SMS, CRM, n.k.)
  • Lugha nyingi
  • Watumiaji wenye majukumu tofauti (admin, staff, mteja)
  • Ripoti na takwimu
  • Mafunzo ya timu yako
  • Msaada wa miezi 3 · Raundi 3 za marekebisho
Muda: wiki 4–6 · Kila mradi unapangwa kwa mahitaji yako
Chagua Enterprise

Vitu vinavyolipwa tofauti (kwa bei ya soko): domain (.co.tz / .com), hosting ya mwaka, na ada za payment gateway. Tunakushauri na kukusimamia ununuzi wake. Matengenezo ya kila mwezi (updates, backups, mabadiliko madogo): Tsh 100,000/mwezi (hiari). Ukurasa wa ziada: Tsh 100,000.

Apps: categories 6

Kuanzia web app rahisi hadi mfumo mkubwa wa kampuni. Apps zote zinajengwa kwa teknolojia moja (React Native / Expo) ili Android na iPhone zifanye kazi sawa.

Web App (PWA)

App inayofunguka kwenye simu yoyote bila Play Store / App Store.

Tsh 2,000,000
  • Inafanya kazi Android na iPhone kupitia browser
  • Inaweza kuwekwa kwenye home screen kama app
  • Login ya watumiaji
  • Hadi screens 6
  • Inafanya kazi bila internet kwa baadhi ya kazi
  • Admin panel ya msingi
Muda: wiki 3 · Njia ya bei nafuu ya kuanza na app
Chagua Web App (PWA)

Android Basic

App ya Android kwenye Google Play Store.

Tsh 4,000,000
  • Android pekee (Play Store)
  • Hadi screens 8
  • Login (simu / barua pepe / Google)
  • Push notifications
  • Admin panel
  • Kuchapisha Play Store kwa niaba yako
Muda: wiki 4 · Akaunti ya Google Play ($25, mara moja) inalipwa na mteja
Chagua Android Basic
Inapendwa zaidi

Android + iOS

App moja, maduka yote mawili.

Tsh 7,000,000
  • Android (Play Store) na iPhone (App Store)
  • Hadi screens 10
  • Login, profile, push notifications
  • Chat / WhatsApp ndani ya app
  • Admin dashboard
  • Kuchapisha kwenye maduka yote mawili
Muda: wiki 5–6 · Apple Developer ($99/mwaka) na Google ($25) zinalipwa na mteja
Chagua Android + iOS

Business App

App inayopokea orders, bookings na malipo.

Tsh 10,000,000
  • Android + iOS
  • Malipo ndani ya app: M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, kadi
  • Orders / bookings / appointments
  • Notifications za SMS na WhatsApp
  • Dashboard ya biashara na ripoti
  • Ratings na reviews
  • Msaada wa miezi 2
Muda: wiki 8 · Ada za payment gateway zinalipwa tofauti
Chagua Business App

Marketplace

App ya wauzaji wengi; kama duka kubwa la mtandaoni.

Tsh 14,000,000
  • Android + iOS
  • Wauzaji wengi (vendors) na dashboard zao
  • Katalogi, kikapu, checkout, malipo
  • Ufuatiliaji wa delivery kwa ramani (GPS)
  • Kamisheni na malipo kwa wauzaji
  • Admin dashboard kamili
  • Msaada wa miezi 3
Muda: wiki 10–12
Chagua Marketplace

Enterprise App

Mifumo mikubwa: fintech, logistics, afya, elimu.

Tsh 20,000,000
  • Android + iOS + web dashboard
  • Integrations: benki, API za serikali, SMS, CRM, ERP
  • Inafanya kazi bila internet (offline mode) na kusawazisha baadaye
  • Majukumu ya watumiaji (roles) na usalama wa hali ya juu
  • Ramani, GPS, ripoti za kina
  • Mafunzo ya timu na nyaraka
  • Msaada na SLA ya miezi 6
Muda: wiki 12–16 · Bei ya mwisho inategemea mahitaji
Chagua Enterprise App

Kwa apps zote: mteja anamiliki code na akaunti za maduka (Play Store / App Store). Tunakufundisha kusimamia app yako. Baada ya msaada wa bure kuisha, matengenezo ni Tsh 250,000–800,000/mwezi kulingana na ukubwa wa app.

Jinsi tunavyofanya kazi

Tunasikiliza

Mkutano mfupi wa kuelewa biashara yako, wateja wako na unachotaka website/app ifanye.

Pendekezo na malipo

Unapata bei kamili na muda kwa maandishi. Unalipa 50% kuanza.

Design kwanza

Unaona muonekano (design) na kuidhinisha kabla hatujajenga.

Tunajenga na kujaribu

Tunajenga, tunajaribu kwenye simu halisi, unafanya marekebisho.

Kuzindua

Unalipa 50% iliyobaki, tunaiweka live, tunakufundisha kuitumia.

Je, upo tayari kuanza?

Tutext WhatsApp