Huduma 03

WhatsApp Automation

Wateja wanakuandikia usiku na mchana; mfumo wetu unajibu, unauza, unakusanya taarifa na kukufuatilia kwa niaba yako. Vifurushi 3 kulingana na ukubwa wa biashara yako.

BeiTsh 800,000 – 2,000,000

Vifurushi 3

Kutoka majibu ya moja kwa moja hadi msaidizi wa AI anayeuza na kufuatilia wateja peke yake.

Basic

Biashara inayopokea maswali yale yale kila siku.

Tsh 800,000
  • Ujumbe wa kukaribisha na menu (huduma, bei, mahali, saa za kazi)
  • Majibu ya moja kwa moja kwa maswali 20 ya kawaida (FAQ)
  • Katalogi ya bidhaa/huduma kwenye WhatsApp
  • Ujumbe wa nje ya saa za kazi
  • Kuhamishia mazungumzo kwa mtu (human handover)
  • Setup kwenye WhatsApp Business yako
Muda: siku 5 · Mafunzo ya dakika 30 · Msaada wa wiki 1
Chagua Basic
Inapendwa zaidi

Pro

Biashara inayotaka msaidizi wa AI anayeuza saa 24.

Tsh 1,400,000
  • Kila kitu cha Basic
  • Msaidizi wa AI anayejibu kwa Kiswahili na Kiingereza, aliyefundishwa kuhusu biashara yako
  • Anakusanya taarifa za wateja (jina, simu, anachohitaji) na kuziweka kwenye Google Sheet
  • Booking / appointments / kuchukua orders
  • Anakutumia notification kila mteja mpya anapoingia
  • Msaada wa wiki 2
Muda: siku 7–10 · Ada ya platform (Meta/AI) inalipwa tofauti
Chagua Pro

Full

Mfumo kamili wa mauzo na huduma kwa wateja.

Tsh 2,000,000
  • Kila kitu cha Pro
  • Broadcast campaigns; kutuma ofa kwa wateja wote (templates zilizoidhinishwa na Meta)
  • CRM: kumbukumbu za kila mteja na hatua alipo
  • Follow-ups za moja kwa moja kwa wateja ambao hawajanunua
  • Payment links (M-Pesa/Tigo/Airtel) ndani ya mazungumzo
  • Muunganiko na website, Instagram na Facebook Messenger
  • Watu wengi wa timu yako kujibu kutoka namba moja
  • Ripoti ya kila mwezi · Msaada wa wiki 3
Muda: wiki 2 · Ada ya platform (Meta/AI) inalipwa tofauti
Chagua Full

Ada za platform: WhatsApp Business API (Meta) hutoza kwa kila mazungumzo, na msaidizi wa AI hutumia platform la AI. Gharama hizi ni ndogo (kwa kawaida Tsh 30,000–120,000/mwezi kulingana na idadi ya wateja) na zinalipwa moja kwa moja na mteja. Tunakusaidia kufungua na kusimamia. Baada ya msaada wa bure, matengenezo na maboresho: Tsh 100,000/mwezi (hiari).

Jinsi tunavyofanya kazi

Tunaelewa biashara yako

Tunakusanya huduma, bei, maswali ya wateja, na jinsi unavyotaka msaidizi aongee.

Tunajenga

Tunatengeneza mfumo kwenye namba yako ya WhatsApp Business.

Tunajaribu pamoja

Unatuma ujumbe kama mteja, tunarekebisha majibu hadi uridhike.

Kuzindua

Mfumo unaanza kufanya kazi saa 24. Tunakufundisha kuusimamia.

Tunafuatilia

Msaada na maboresho: wiki 1 kwa Basic, wiki 2 kwa Pro, wiki 3 kwa Full.

Je, upo tayari kuanza?

Tutext WhatsApp